TatuaMzuka APK Download

By Evance Jay E

Version: 3.2.1 (133 downloads)

About TatuaMzuka

TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.

Ukiwa na App Hii unaweza ukafanya haya yafuatayo:
👉🏿 Unaweza ukapata namba ya ushindi ya droo za TatuMzuka
👉🏿 Unapata matokeo ya droo za TatuMzuka
👉🏿 Unapata utabiri wa namba tatu za TatuMzuka
👉🏿 Unapata uwezo wa kuona washindi wa droo za TatuMzuka
👉🏿 Unapata uwezo wa kuhakiki namba yako ya bahati dhidi ya namba zilizoshinda
👉🏿 Unaweza ukachat na watu zaidi ya 50,000 na kujadili masuala mbali mbali yahusu Tatumzuka

Jinsi ya kuitumia
👉Kwanza Download Application ya Tatua Mzuka hapa
👉Kisha fungua Application yako, utaona maelezo ya kutumia application hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"
👉Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.
👉Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.
👉Ndani ya app utapata maelekezo zaidi juu ya namna unaweza kuitumia app hii.

TatuaMzuka, Ushindi ni Lazima.

App Information:

  • Category: Adventure
  • Developer: Evance Jay E
  • Version: 3.2.1
  • Update: 03 November, 2020
  • Google Play ID: com.evancejaye.tatuamzuka
  • Installs: 133
Browse Categories